nina tatizo ktk laptop

Gendo

Member
Joined
Aug 14, 2011
Messages
8
Points
20

Gendo

Member
Joined Aug 14, 2011
8 20
kwa wataalamu wa computer nisaidieni. Yani nikiwasha laptop na kuweka paswad inawaka kama kawaida then inaandika log off nakurudi mwanzo au inabaki ikionyesha uso wa kioo(scrensev)
 
Paul S.S

Verified Member
Joined
Aug 27, 2009
Messages
6,061
Points
1,500

Paul S.S

Verified Member
Joined Aug 27, 2009
6,061 1,500
Itakuwa ina tatizo la kiharusi kilichochanganyika na utapiamlo kutokana na kung'atwa na mbu wakati ipo bandarini. Jaribu kuiosha na mkojo wa sisimizi
Acha upumbavu bana if u know nothing potezea na si kuleta maskhara wakati mtu anatatizo na anaomba msaada.
Mkuu sijui unatumia OS gani? niliwahi kukumbana na tatizo kama hilo wakati natumia Windows XP, nikaweka cd ya wn xp na ku repair windows tatizo likaisha.
So tafuta CD ya windows unayatumia na kisha fanya repair
 
Bukyanagandi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2009
Messages
7,814
Points
2,000

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2009
7,814 2,000
Mkuu nakushauri kabla huja-attempt ku-repair OS yako jaribu kufanya yafuatayo: ifungue hard drive ya lap top yako tafuta/nunua adapter/interface ya kukuwezesha kuifunga kwenye computer nyingine kama external hard drive, ukisha kamilisha hilo basi u-scan lap top drive yako for virus na ikiwezekana u-copy mafaili yako muhimu kwenye folder utakayo kumbuka ndani ya computer inayo tumika ku-scan. Ukisha kamilisha hilo ifungue na kuifunga kwenye lap top yako na ku-boot, hilo likishindikana basi tafuta CD ya OS yako na kufanya ku-restall upya, huwezi kufanya repair kama hujuhi tatizo liltokana na mafaili yepi ambayo yanaweza kuwa repaired unless computer yako ikikueleza in advance kwamba mafaili fulani yana-miss au corrupted hapo ndiyo unaweza kuwa na huakika lipi la ku-repair.
 
<br />
<br />
poa ndugu
 
Mlamoto

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
355
Points
225

Mlamoto

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
355 225
Mkuu nakushauri kabla huja-attempt ku-repair OS yako jaribu kufanya yafuatayo: ifungue hard drive ya lap top yako tafuta/nunua adapter/interface ya kukuwezesha kuifunga kwenye computer nyingine kama external hard drive, ukisha kamilisha hilo basi u-scan lap top drive yako for virus na ikiwezekana u-copy mafaili yako muhimu kwenye folder utakayo kumbuka ndani ya computer inayo tumika ku-scan. Ukisha kamilisha hilo ifungue na kuifunga kwenye lap top yako na ku-boot, hilo likishindikana basi tafuta CD ya OS yako na kufanya ku-restall upya, huwezi kufanya repair kama hujuhi tatizo liltokana na mafaili yepi ambayo yanaweza kuwa repaired unless computer yako ikikueleza in advance kwamba mafaili fulani yana-miss au corrupted hapo ndiyo unaweza kuwa na huakika lipi la ku-repair.
Ahsante kwa kujibu vizuri. Hiyo laptop imekuwa infected na virus iitwayo virut na sality. Ndizo zenye hiyo tabia ya kumlog off mtumiaji. Hii inatokea baada ya mtumiaji kujaribu kuisafarisha kwa antivirus. Nyingine. Ushauris ulioutoa huyo mheshimiwa ni sawa. Mimi ningetaka tu kuongeza kuwa kama hauna cds za kufanya installation, baada ya kuiscan kwa kutumia external adpater fanya yafuatayo:

kwa kutumia computer ambayo ni nzima;
1. Nenda kwenye folder ya windows copy file liitwalo explorer.exe ukalipesti kwenye folder lako la windows and replace existing file
2. Nend kwenye folder ya system32 iko ndani ya folder la windows copy mafaili yafuatayo userinit.exe, user.exe, winlogon.exe uyapesti kwenye folder kama hilo kwenye computer yako (system32) and replace existing files

all the best
 
Forum statistics

Threads 1,378,678
Members 525,139
Posts 33,720,525
Top