Nimepoteza folder kwenye computer yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimepoteza folder kwenye computer yangu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kipeperushi, Aug 30, 2011.

 1. Kipeperushi

  Kipeperushi Senior Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana jamii, nitafurahi sana iwapo nitapata msaada toka kwenu maana nimekuwa nikifuatilia sana mambo yanavyoendelea humu ndani ya nyumba hii na nimegundua kwamba watu wengi huwa wanafanikiwa kwa namna mbalimbali kupitia uwanja huu wa JF. Ni mara yangu ya kwanzs kuigia humu jamvini, hivyo naomba niseme HODIII...!!??

  Nimepoteza folder muhimu kwenye Computer yangu(DOWNLOADS). Tatizo ninalolipata sasahivi ni kwamba kila ninapo download kitu kutoka kwenye internet napewa maelekezo kwamba destination ya hicho ninacho download ni kwenye folder inayoitwa TEMPORARY FOLDER. Hii folder mimi sijui nitaipataje kwenye Computer, naomba kama kuna mtu yeyote anaejua altenative way ya kuzipata hizi downloads anielekeze. Zamani nilikuwa nazipata kwenye hii folder ambayo haipo tena kwenye computer yangu.
   
 2. SIMBA mtoto

  SIMBA mtoto JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 208
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Safisha virusi
   
 3. F

  FredKavishe Verified User

  #3
  Aug 31, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Inawezekana kuna virus update ant virus'den mafile yako yote utayaona kwenye downloads
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Yes hiyo ni default setting ya browser kuwa dowload zote unazofanya huwa zzinakwenda kwenye temp folder .kama unatumia firefox Jinsi ya kulipata ni futa path hii. kwa hiyo sio virusi wala sio tatizo la mashine kama wanavyodai baadhi ya wadau
  I
  C-> Document and setting---> username folder ---> local settings ---->temp( uaweza uyakuta hapa)

  II
  Njia nyingine tumia serach tool. search kwenye drive C . kwenye kibox cha kuingiza keyword andika neno temp.

  III
  Ukishidnwa kabisa kwenye browser yako nenda kabadilishe path ya kuweka downloads. Badilisha path rahisi utayokumbuka . Mfano kwenye c tengeneza folder liite dowload au jina lolote
  firefox soma hapa Change the Default Download Location for Mozilla Firefox
  IE soma hapa Internet Explorer 9 - Change Default Download Location - Windows 7 Forums

  otherwise google how to change default dowload location in ( whhttver broser unayotumia )
   
 5. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mimi sina utaalmu wa hizi tekinolojia za kisasa, lakini faili likinipotea, huenda kwenye Drive C, ninabonyeza hapo, na juu upende wa kulia pale palipo na search, huandika jina la file ninalotafuta na ninapoandika herufi za mwanzo tu huanza kutafuta na faili hujitokeza. Lakini maelezo mazuri zaidi ni hayo aliyokupa Mtazamaji.
  Good Luck
   
 6. Kipeperushi

  Kipeperushi Senior Member

  #6
  Aug 31, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante Mtazamaji, naelekea huko ulikonielekeza.., nahisi kama nakaribia kufika ingawa issue bado iko "tough" kidogo lkn I think I am Trying to my best level, hii option ya Google naona kama inanipa mwelekeo mzuri. Big up 2 U mkuu. Otherwise nawashukuru sana wadau wote mlioshiriki katika kunipa mchango wa mawazo katika tatizo langu. Tuko Pamoja...!
   
 7. Kipeperushi

  Kipeperushi Senior Member

  #7
  Aug 31, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  BIG UP Mkuu naelekea kuzuri sshv hii option ya Google naona ni Baaab Kubwa...! Nikipata prob. nitaiweka hewani.
   
 8. HT

  HT JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sijaelewa unahitaji kubadili mpangilio wa kirambaza chako au kulipata tena hilo kablasha ulilopoteza!
   
 9. Kipeperushi

  Kipeperushi Senior Member

  #9
  Sep 1, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Unajua ni kwamba hata maelezo niliyokupa ni mwanzo ni mengi sababu watu hawajui kuelezea matatizo yao. Kama hujataja unatumia OS hujataja unatumia Browser gani na version ya hiyo browser . Sasa umetaja IE lakini haijulikani ni version gani. So the best mtu atafaya ni kubahatisha au kukupatia lundo la majibu ya kubahatisha. Ndio nilifanya kule juu.

  Sasa kwa sabbau hata hiyo IE unayotumia hujataja version yake bado hujakamilisha maelezo yako vizuri. lakini kama unatumia IE 9 jaribu kusoma hapa unaweza kupata msaada Internet Explorer 9 - Change Default Download Location - Windows 7 Forums

  Kujua version ya OS ingesaidia kukupa maelekezo ya kutumi a tool ya search. Ukitumia search tool unaweza kuingiza jina la file ulilodwload unalotfuta au jina la hilo folder ya temp au folder ambayo ina dowload zote.  Pia tunaweza kufuta melekezo ya video za yutube kama hiii inayoeleza jinsi kutafuta file kwenye windows 7. Andika serachin file in XP or window7 or vista  Otheriwise Pole sana mkuu komaaa na search
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama kweli inakuambia ipo kwenye temporary folder basi, basi fungua kile kikomandi cha RUN halafu andika %temp% then bonyeza enter itakupeleka kwenye temporary file zote ambazo hazina kazi kwenye komputa yako huenda pia hizo downloads zako pia zipo pale..
   
 12. Kipeperushi

  Kipeperushi Senior Member

  #12
  Sep 1, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu umenipa maelezo ya ziada sana, acha niendelee kufuatilia maelekezo yako, nitakupa feedback. Thanks a lot.
   
 13. Kipeperushi

  Kipeperushi Senior Member

  #13
  Sep 2, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
 14. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  run %temp% ni mwake mwake au Njia nyingine ambayo ni poa kabisa hata ukiwa umesikiliza music au umetizama movie kwenye net zote huwa zinajisave kwa kutumia njia hii ni utaziona kirahisi kabisa na pia unaweza zisave japo ni kama uwizi.

  Tools

  Internet options
  Brousing History Settings
  View files
  Hapo utakuwa ushafika kwenye temp file una set kwa size kubwa kwa ndogo so zile kubwa zinajipanga kazi yako inakuwa ni kucopy files uzikakazo na kujiwekea kwenye folder zako kama unachuma karafuu vile
   
 15. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  google program moja inaitwa 'Tune up utilities', ndani yake kuna recovery tool nzuri sana, ina uwezo wa kurcover mafaili yote uliyodelete na ambayo hayapo kwenye recycle bin, ili mradi tu usiwe umeformat computer yako
   
 16. Kipeperushi

  Kipeperushi Senior Member

  #16
  Sep 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
   
 17. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  what is
  <br />
  <br />?
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,355
  Likes Received: 22,219
  Trophy Points: 280
  Kuna mganga mzuri sana Kigogo Luhanga, anapiga ramli, na kurudisha mali zilizopotea. Nasikia katokea Mpanda Katavi
   
 19. Kipeperushi

  Kipeperushi Senior Member

  #19
  Sep 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
Loading...