Natafuta Miniserver

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
1,427
Wakuu Mambo Vipi? Natafuta Miniserver ya HP ambayo ina window ya 2003 mpya au used Msaada Pls​

Mkuu sina msaada lakini nina ka-ushauri

Kwa nini unatafuta Miniserver na sio laptop au desktop yenye minimun specification fulani.?

Sababu hata laptop au desktop yenye specification nzuri inaweza kuwa database server ,application server, webserver, Mail server , etc.

Kinachofanya server kuwa server mara nyingi ni software zilizokuwa installed. Hardware sana sana zinachangia kuongeza perfomance. Mimi latop yangu ni Database server na webserver sababu nimein sntall WAMP... U seeee

So nadhani performence ya Mini serve inanaweza kulingana na performance ya desktop au hata laptop za kisasa zilizopo sokoni. Kwa hiyo jipe wigo mpana kwa kutafuta zaidi ya Miniserver. .....

Usije ukachukua HP Mini sever ukakuta uwezo na specication zake zinalingana na current desktop an laptop in the market . Na itakusadia kuokoa muda au hata fedha unapokuwa na option zaidi ya moja.

Ni hilo tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom