hello!!!!!

hello!!!!!

Baalawy

Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
11
Reaction score
0
Wataalamu ninaomba kuuliza kuwa kati ya hizi kozi za computer ni ipi mzuri na inamata duniani na zaid Tanzania kwa mfuatano,,kozi zinyewe ni: Bsc in information technology,,,,B.E in information technology,,,,,,Bsc in computer science,,,,B.E in computer science & engineering,,,,B.E in information science & technology na nyingine makazoziona ni mzuri ktk fani hii.
 
vip ndugu unauliza hadi leo mbona masomo yameshaanza huko vyuoni ulikua wapi siku zote hizo
 
Vipi kijana? Si ulishauliza hili swali watu tukakujibu! Tena thread yako bado ipo humu.
 
Vipi kijana? Si ulishauliza hili swali watu tukakujibu! Tena thread yako bado ipo humu.

Samahanini wakuu,,"usilolijua ni sawa na usiku wa giza",,, kuhaflika tu huko na kutokujua.
 
nifahamisheni kuifuta hii post coz ziko mbili ,,,,,,nataka hii niifute ,,plz.
 
Back
Top Bottom