Blackberry kama modem

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Jan 31, 2009
7,333
3,896
Naombeni msaada nitaitumiaje simu yanga bb kama modem.Ni curve 8520, na mtandao ni airtel. Nimeongea na customer care ya airtel hawakutoa ushirikiano.
 
Load programme uliyopewa na BB (iko ktk cd/dvd) katika coputer yako. Ukimaliza tumia USB code kuunganisha pc yako na BB...Log in kwenye pc yako kama kawaida.....Tupe majibu ikikubali! I used it once nilipokwama mashenzini na sina internet connection...Ilifanya kazi kwangu..Try your luck
 
Download free desktop manager of bb 8520 kisha install kwenye pc yako itakupa maelekezo nn cha kufanya!ukishindwa rudi janvini!
 
Load programme uliyopewa na BB (iko ktk cd/dvd) katika coputer yako. Ukimaliza tumia USB code kuunganisha pc yako na BB...Log in kwenye pc yako kama kawaida.....Tupe majibu ikikubali! I used it once nilipokwama mashenzini na sina internet connection...Ilifanya kazi kwangu..Try your luck

Mkuu SURUMA main menu ya bb desktop manager ina media, application loader, backup and restore, device switch wizard, na synchronize sijafanikiwa kokote
 
kwa ukihiyo wangu hiyo inawezekana kama uko BES lakini ukiwa BIS hakuna kitu kama hicho,ingekuwa ni Nokia ni rahisi,hapo nyuma niliwahi jaribu sikufanikiwa
 
Back
Top Bottom