Feedback ya kingamuzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Feedback ya kingamuzi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by drphone, Jan 24, 2011.

 1. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Wakuu kuna mdau alitoa njia ya kuchakachua vingamuzi vya startimes nimefanya kama alivyoelekeza na nimefanikiwa kama charm vile nimepata chanel 13 ikiwemo tb-joshua nimefurai sana.
  ILa zinasumbua sana hzi inakatakata sana picha na sauti mpaka inaboa sana nimekwenda kuripoti leo tatizo wameniboa sana wale wadada mwisho wananiambia niipeleke hapo kwao wakaingalie.
  Nilinnunua jmosi wakati nalipa wakajaribu kunishawishi kama nataka itv na chanel zingine yupo fundi wao ataniprogramia kwenye computer nikacheka sana nikamwaga alipotamka 100000
   
 2. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Sasa wenyewe wanauza, na wao wao ndiyo wachakachuaji wakubwa! tutafika? wakichakachua ikiharibika inakula kwako!
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  yan we acha tu hizi chanel zingine ni za free kabisa ila wao wanageuza dili na kukudanganya wanaiprogram kuingiza hzo chanel za free
   
 4. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wangekua hat wana HBO ingelipiwa..tulinunua na ikalipiwa mara moja tu..cku hz hata cjui ilipo!
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  tufundisheni basi na sisi wengine tukachakachue.....ni kuchakachua tu ndicho kilichobaki katika nchi yetu
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ni very simple
  1)click menu button kisha down arrow key mpaka kwenye item ya 4 itakupa options 2, manual na auto
  2)click right arror key ili uende kwenye hizo options kisha uwe kwenye manual options
  3)click ok kisha bonyeza 530 kisha click ok
  4)ita search na kuonyesha 12 chanel found
  5)exit mpaka kwenye menu kisha ITV na EATV zitaonekana
  6)ukiona ITV na EATV hazina sauti bonyeza Track button chini ya power button kwenye remote yako mpaka utaona sauti inapatikana.

  ikikubali usisahau kunipa thanks
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mkuu, mi nakutangulizia Thanks kabisa.
   
 8. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  uja bonyeza kitufe cha thanks
   
 9. g

  gomer Senior Member

  #9
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mkuu aminia imekubali! :)

  Ila simple steps, hatua tilizozifuatisha ni -
  main menu;
  system setting;
  channel search, manual search;
  frequency input
  - 530
  kama ninavyo nukuu.

  tukumbuke kuigeuza kadi, program yao inatusoma!!!
   
 10. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ndo hatua hzo hzo mkuu
  kugeuza kadi kivipi cjakusoma mkuu
   
 11. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Nahisi inategemea na eneo ulilopo, maana mie nilishajaribu hii njia siku za nyuma lakini haikufanya kazi
   
 12. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nafikiri kama unatumia vile vingamuzi vya kwanza azikubali kuna jamaa yangu imegoma pia
   
 13. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2011
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  ???
   
 14. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nini tena
   
 15. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2011
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Drphone, nashangaa hapoa unaposema unageuza kadi! Je, unageuza hiyo kadi ili uweze kupata hizo chaneli nyingine au? naomba ufafanuzi hapo
   
 16. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ok nilikuwa namuliza gomer soma post za juu kidogo yy ndio alisema tugeuze kadi cjaelewa kivipi ukisoma utaelewa vzuri mkuu
   
 17. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2011
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mkuu Gomer:

  Tufafanulie zaidi hapo kwenye kugeuza kadi!
   
 18. W

  Wanzuki Senior Member

  #18
  Jan 25, 2011
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ngoja nimsaidie Gomer. Kule kwetu ukila wali wenye mchanga mwingi unaambiwa 'geuza meno'. Maana yake kula kwa uangalifu. Na yeye bila shaka ana maana kama hiyo, 'Tuwe wangalifu' kwani jamaa wanatuona kwenye program yao.
   
 19. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #19
  Jan 25, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu umeniacha hoi kweli ni hii misamiati nilipata shida kdogo baada yakuelewa nimebaki kucheka
   
 20. G

  GHANI JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mkuu nifanyaje ili nipate hiyo hbo nimeskia ina keys zake kwenye irdeto 2.
   
Loading...