CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,828
- 1,861
Nina receiver aina ya asiastar ambayo nilipata kutoka kwa rafiki yangu. Ni receiver yenye ubora mkubwa, hata kama channel fulani zinascratch kwenye receiver zingine ukiconnect asiastar zinatengemaa. Lakini remote yake imekuwa issue. Juhudi za kutafuta remote zimegonga mwamba hadi sasa. Kwa hiyo napata channel 6 yaani tbc1, itv,c5,capital na startv ambazo zilishakuwa installed zamani hivyo siwezi kuongeza zingine. Of course hiyo receiver ina channel kama 355 preinstalled lakini hazionyeshi, zanahitaji kudelete na kusearch upya. Naomba wadau kama kuna mtu anayeweza kunitafutia remote nitashukuru sana.