msaada nimefungiwa line yangu ya TIGO

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
nisaidieni toka jana siwezi weka vocha ktk line yangu ya tigo kisa niliweka vocha feki,je niitupe hii line? Au ninunue nyingine.nikiwapigia customer care hawapokei namba yao ni 0713800800
 
Usiitupe hiyo line bwana hilo ni tatizo dogo sana kwan huwa wanafanya hivyo baada ya kurudia rudia kuingiza vocha ambayo ime 2mika mara nyingi.Na huwa wanaifungia kwa mda km wa cku 3 hiv lkn baadae watakulejeshea tena.

Chamsingi km upo karibu na kituo chao cha kutoa huduma km dar mliman city nenda watakulekebishia.
Au piga 2 hiyo hiyo namba yao watapokea 2 kwan huwa wanachukua xana mda kupokea.
 
hili tatizo hata mimi limenipata jana !sijui kuna tatizo gani na vocha zao
 
Back
Top Bottom