Beyond politics 3 - tujifunze kutoka china | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Beyond politics 3 - tujifunze kutoka china

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Oct 25, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hallo wadau wa Siasa.
  Naamin China na nchi za Scandanavia zina mifano hai amabayo inaweza kututoa tulipo n kwenda mbele kama wanasiasa wetu wakiwa tayari kuona mabo nje y siasa.


  Inwezekana ukawa hauna lakini ukakihodhi

  Hapa napata uwa ni mikataba nafuu na ya kifasi inawawezesha wachina kuhodhi mambo haya. Wanchofanya china ndich wanachofanya mataif mengine kwenye madini kama dhahabu, almasi, Tanzanite etc.

  China ina 30% lakini ina contrl 97%. So hap tunapata Somo kuwa kuwa na sera sahihi na Mikataba safi. Madini kama dhahabu, Almasi, Tanzanite yanaweza kuwa Tanzania laikni wanofadikia na kuyacontrol kawa % kubwa Wacanada, Waustralia au waisrael. Je anayehodhi dhahabu, alamsi na Tanzanite ni nani?

  China hawafuati Theory za IMF na Word Bank. wanafanya kilicho bora kwa uchumi wao sio wa Dunia

  China haifuati n hifunwina sheria za IMF na hata linappouja swali la uzalishaji wanatumia mbinu kufaidika. Je Tanzania na nchi zinazozalisha dhabu zin taaisi ambayo inawezakusaidia kupunguza uzalishaji uli kupandisha bei.? au tumewaachie wachimbaji wachimbe watakavyo.

  Changamoto nyingine Tujiulze kwa nini Tamani ya dhabau na madini inapanda lakini thamani y shilingi Inashuka.Uimara wa shilingi yetu unategemea nini ?

  Sisi Tanzania na mataifa masikini ni wamaria wema tunafuta kanuni za ichumi za IMF na WB kwa mufuaa ya "uchumi wa dunia"

  China bado wana kiu ya maendeleo yao sio ya kuletewa

  Sasa sisi Tanzania tufanye nini japo tuseme kufikia 2020 tusitumie pesa ya igeni kuagiza baiskeli. yani tuwe na viwanda japo viwili vya kukidhi mmahitaji ya baiseli na vifaa vyake Tanzania. China wanakaba hadi penati sasa naona wamehamia kwente utengenza sumaku.

  National Treasury za Tanzania ni nini ?
  Napenda kujua hili jibu sisi Tanzania wht is our national Treasure yetu ni vitu gani?
  Tanzania ina mmambo gani ya Kujifunz kutoka China?

  Soma baadhi ya comment na makala nzimama ya ujumbe huu hapa. Sijui kwa wle china haters wanasemaje.

  Madini adimu yanayozungumziwa katika picha.

  [​IMG]
   
 2. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Chini ya magamba maendeleo tatakuwa tunayaonea kwenye TV tu.

  Kuhusu hizo rare earth metal ziko kwa wingi sana Tanzania, ule mchanga unaopakiwa kwenye makontena toka Bulyankulu kwenda Japan una madini hayo kwa wingi sana. Magamba wanaingia mikataba ya kinyonywaji kwa 10%. Kinachotakiwa ni kuwagaddafi magamba wote!
   
Loading...