Compaq CPU Booting failure, WATAALAMU NISAIDIENI

Compaq CPU Booting failure, WATAALAMU NISAIDIENI

Given Edward

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
850
Reaction score
203
Nina cpu ya compaq with built-in speakers. Kila ninapowasha inawaka kwa kama sekunde 30 then inatoa sauti ya beeping mara mbili halafu inazima. Baada ya hapo inaonyesha kuwaka lakini screen blank. Itakaa hivyo mpaka mwisho. Wadau kibao wameshindwa. Nitashukuru SAANA. Ahsanteni.
 
Reinstall the OS..............................................
 
Tumia recovery cd ya kaspersky, u boot kwa kutumia cd hiyo. Itaboot na kuua virus waliosababisha boot failure.
 
Nina cpu ya compaq with built-in speakers. Kila ninapowasha inawaka kwa kama sekunde 30 then inatoa sauti ya beeping mara mbili halafu inazima. Baada ya hapo inaonyesha kuwaka lakini screen blank. Itakaa hivyo mpaka mwisho. Wadau kibao wameshindwa. Nitashukuru SAANA. Ahsanteni.

Hivi mnaposema CPU mnamaanisha nini ? Maana nijuaavyo cpu ndiyo processor kama intel au AMD au bongo ina maana nyingine?
 
kama uko dar nipigie nije ku solve hlo tatizo ghala ni ndogo sana 0714853959
 
Tumia recovery cd ya kaspersky, u boot kwa kutumia cd hiyo. Itaboot na kuua virus waliosababisha boot failure.

the thing ni kwamba CPU haiwaki. Monitor inaonyesha blank lakini cpu inaonyesha kuwa ON.
 
jaribu kubadili ram, ingawa kama ram imekufa machine ina-beep mara tatu, kiufupi kila beep ktk machine ina maana yake, mfaano machine ikitoa beep moja ina maana 'system ok'. nakushauri google na uandike 'compaq evo beep twice' utapata jibu kuwa tatizo lipo kwenye kitu gani
 
Na je vile inavyobeep mara 2 (long)?

kawaida huwa cpu/processor/microprocessor ikipata joto sana huwa computer inajirestart soln n kununua fluid inayopakwa kati ya cpu na heat sinker ili kuifanya cpu isipate joto so maintanance inahitajika
 
Hivi mnaposema CPU mnamaanisha nini ? Maana nijuaavyo cpu ndiyo processor kama intel au AMD au bongo ina maana nyingine?

i guec he meant system unit, sema kibongo ndio ishazoeleka kuitwa CPU!!
 
i guec he meant system unit, sema kibongo ndio ishazoeleka kuitwa CPU!!

and what's wrong with that? Tusije tukajisahau tukadhani sisi ni wazungu wa kukiita kitu exactly kinavyopaswa.
 
Back
Top Bottom