Tips za kuzingatia wakati unanunua computer mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tips za kuzingatia wakati unanunua computer mpya

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by IrDA, Oct 22, 2011.

 1. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 639
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Samahani,nimeamua kufuta post coz majungu yamezidi
   
 2. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #2
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Maana YAKE NINI hii post???
  Kichwa cha habari Kiswahili halafu maelezo kiingereza this means umecopy na kupaste (nami nimekitumia hapa kuonesha kuwa nakifahamu) HOJA ya Msingi hapa ni kuwa, Kama ulikuwa na nia ya kuwasaidia Watanzania kwanini usitafsiri kwenda ktk Lugha ya Taifa , unadhani watu wanaokifahamu kiingereza hawawezi kutafuta kwenye google? Nimekuwa nakuangalia na mipost yako mirefu ambayo haina msaada wowote na ni kero tupu. Jirekebishe!
   
 3. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wewe mwenyewe mbona unachanganya lugha hapa?
  binafsi naamini kila mtanzania anayefungua hapa hatashindwa kusoma na kuelewa
   
 4. S

  Samkijotipo New Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli baba
   
 5. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Bro hata kama amecopy na kupaste but atleast amewapa knowledge watanzania wanaofahamu english, lakini ingekuwa powah zaidi kama angeandika kiswahili, we should provide thanks for what he did
   
 6. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kosa lake ni nini sasa? watu wengine huwa mnaandika hapa jf mkiwa kwenye influence ya viroba, si kila ukiwa huna la kuandika ni lazima uandike kitu. kudadadeki.
   
 7. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Watu hamkawizi...!!sidhani kama atarudia tena copy na paste
   
 8. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Pengine hukusoma Post yangu hadi mwisho ,ungejua kwa nn nimetumia kiingereza. Mantiki yangu ni kuwa tunahitaji kuwasaidia WATANZANIA halisi wanaojitahidi kuingia katika ulimwengu huu ambao wengi hawajui kiingereza wala maneno yenye lugha ya kikompyuta. Wengi wanaofahamu kiingereza tayari wanajua kutumia komputa na pengine wanazo tayari. Hivo unapomuandaa mtu kununua kompyuta, ni lazima umuandikie kwa lugha eleweka na siyo kunyofoa kwenye mitandao ukanandika hapa. Sishangai kuwa mara nyingi ni wewe pekee unayezipenda post za huyu bwanamdogo! Tunahitaji kuisogeza Tanzania karibu na ulimwengu wa mawasiliano kwa mtandao kwa kuwasaidia 'watanzania'.
   
 9. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #9
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  You want me to give thanks for Copy & Paste without giving credit to the Original website? Do you know the meaning of Plagiarism? The Provided Link is for purchases 'suggestion to get an idea of pricing and what's currently available OR this is one of the sites that we use to look at pricing for all our PC purchases . Neither did he/she provide a link where he stole the technical Details nor did he/she appreciate the author "PC Buying Guide - Budget PC System'' Thats Purely Plagiarism! And you wanna me give THANKS????

  Nimeandika Kiingereza kwa kuwa sasa nawajibu wanaokifahamu!.Mimi naandika pia mambo mengi kwenye Internet lakini pale ninapotumia kazi ya mtu lazima nitambue mchango wake lakini si hii ya kunyofoa kazi za watu unapachika hapa halafu watu wasiojua wanakupa 'likes' unajisifu.
  Kimsingi sina nia ya MALUMBANO ila hoja yangu ni:
  1. Kama una lengo la kuwasaidia watanzania basi waandikie kwa lugha inayoeleweka na wengi, hapo hata mm nitakupa 'like'
  2. Kama unatumia taarifa toka katika tovuti,kitabu au Jarida, hebu mtambue mwandishi ili siku moja usije kusitakiwa kwa mambo ya haki za uandishi
  3. Naamini kama wewe una busara na uelewa hutailichukulia andiko hili kwa ubinafsi bali kama sehemu ya kujifunzia kwa kuwa bado una safari ndefu mbele yako!
   
 10. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Ulitakiwa umuandikie kwa kumuelimisha sio kumuandikia kihuni kama ulivyoandika mwanzoni.
  Hata hivyo haina haja yuu yaa kusumbuka kuweka aliyeasisi makala maana hata hivyo shida hapa ni elimu tu. Yule aliyeweka hapa alijua kila mtu ataisoma na hakuwa na shida kwamba tumfahamu.
  Internet ina resources nyingi sana za kila hoja. Wewe kama una muda wote huo wa kuandika author wa makala ni juu yako wengine hawana muda huo. Shida yetu ni kwamba paka kashika panya. Wala shida si paka wa rangi gani.
  Siku nyingine angalia usiandike mambo kihuni kama ulivyoandika mwanzoni.
   
 11. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #11
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Kijana unafahamu maana ya Intellectual Property rights? Kama huijui tafuta maana yake halafu rudia kusoma post yako
   
 12. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,954
  Likes Received: 1,514
  Trophy Points: 280
  Hizo specs zimeandikwa kwa kiingereza kaka kutafsri kutoka kiingereza sio kazi rahisi kama unavyozania,lakini pia hata wewe unaweza kutusaidia kaka badala ya kulaumu tu hebu tafsiri basi kutoka hicho kiingereza kwenda kiswahili hapo utakuwa umetusaidia,au ndio mwendelezo ule ule wa watanzania wa kulalamika bila kutoa ufumbuzi wa tatizo,wengine hatuna muda wa ku google
   
 13. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Hii ni review ya mwaka gani kwanza? Usije ukawa umechukua review ya mwaka 2009 unaileta mwaka 2011. Sasa hivi kuna intel core i3, i5, i7
   
 14. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ameandika mengi mno,sie ma leyman hatutaelewa!put it simple!mfano laptop basc iweje,mfano Ram 3GB,processor intel duo processor etc.sio unatushushia nondo,haya madude hata niki google nayapata!
   
 15. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #15
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Hapo umenena!
   
 16. Mnandi

  Mnandi Senior Member

  #16
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wewe mwenyewe mbona kiingereza hakijanyooka', hapo kwenye Red unamaanisha nini? wewe utakuwa hujasoma shule wewe au umepiga kozi fupi fupi za kubrashi reputation, au ni wale wasanii mnaoshindwa kuweka copy-write kazi zenu mnaibiwa na bado hamkomi',,wa2ru2mbi watu wa vu..i!hatakama mwenye hii thread amecopy mahali maujanaja kwenye internet lakini imesaidia watu kibao nikiwemo mimi!! ingekuwa vigumu sana kufahamu kama search ingines ina vitu kama hivyo so usijifanye wa kujua sana, kama hajaguswa lipuka sio lazima kuComment!
   
Loading...