Msaada: how to close Yahoo account? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: how to close Yahoo account?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kachanchabuseta, Oct 24, 2011.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  WanaJF naomba msaada
  Kuna account moja ya yahoo niliacha kuitumia siku nyingi lakini
  sasahivi automatically inatuma email kwa contact zote zilizopo kwnye account hiyo

  Please help mana wakati mwingine inawatumia friends ambao wako kwenye contact
  hiyo kuwa nauza products, mafuta, kwa kuwapa FAKE link
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Ingia kwenye account setting badili password, email zitaacha kutumwa. Juu kushoto click username yako kisha click Account Info kuna sehemu ya kubadili password. Kama unataka kufuta nenda https://edit.yahoo.com/config/delete_user
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Thanks Mkuu ngoja nijaribu
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Thanks nimefanikiwa kuterminate account

  Viva JF
   
 5. Mlamoto

  Mlamoto JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Sivyo kaka! Akaunti yako haitumi email feki! Kuna program zinaitwa robot zinatuma email na kujitambulisha kwa ID ya email yako! Hata ukifuta bado itaendelea kutuma na kujitambulisha kuwa ni wewe! Kwa kuwa hiyo robot tayari inafahamu email yako. Inaitwa impersonation. Pole!
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  sasa how can i avoid? nilifikiri kuterminate ndo solution
  Please help
   
Loading...