Msaada wa kufahamu bei za vifaa vya studio ya picha

Aina gani za portraits watu wanapenda?

  • Portrait ziszoifanyiwa ubunifu wa kutumia software kama Photoshop

    Votes: 0 0.0%
  • Portrait zilizofanyiwa Photoshop au software nyingine

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    0

moto ya mbongo

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
476
326
Wana JF naamini mu wazima na shughuli zinaenda vizuri,naomba mnisaidie niweze kujua bei za vitu vifuatavyo nataka nifanye ujasiriamali wa Studio ya Kisasa na professional ya picha

1.Kompyuta ya Macintosh/Apple
2.Mtambo wa kusafishia picha kwa haraka either Kodak,Fuji au brand yoyote nzuri .
3.Cameras professional
4.Camera mounts
5.Dolly
6.Scrim
7.Jib
8.Stands like tripod,...
9.Light sources

NAWASILISHA NATUMAI NITAPATA MAJIBU NA USHAURI MZURI KWENU

Kwenye kompyuta sio lazima ziwe za apple ni programme tu ndio utahitaji hizo apple zinaanzia si chini ya dola 1500 hadi dola 3000,hiyo vingine unaweza ku google kwa camera proffessional ziko pale Mlimani city Game supermarket na pia kuna duka la camera mitaa ya mosque /jamhuri
 
Wana JF naamini mu wazima na shughuli zinaenda vizuri,naomba mnisaidie niweze kujua bei za vitu vifuatavyo nataka nifanye ujasiriamali wa Studio ya Kisasa na professional ya picha

1.Kompyuta ya Macintosh/Apple
2.Mtambo wa kusafishia picha kwa haraka either Kodak,Fuji au brand yoyote nzuri .
3.Cameras professional
4.Camera mounts
5.Dolly
6.Scrim
7.Jib
8.Stands like tripod,...
9.Light sources

NAWASILISHA NATUMAI NITAPATA MAJIBU NA USHAURI MZURI KWENU

Kwa namba 2 ni PM
 
Back
Top Bottom