VIEW CONTACTS LIST
READ TEXT MESSAGES (SMS)
VIEW CALLS MADE / CALLS RECIEVED
SET THE TARGET PHONE TO CALL YOU WHENEVER IT MAKES OR RECEIVES A CALL
VIEW PHOTOS
MANY MORE FUNCTIONS
Tembelea...
ndani ya wiki hizi mbili kumekuwa na ajabu kuhusu internet ya airtel. waliopo junguni watuambie kuna nini siku hizi. maana inaonekana ni ya ajabu kabisa. something that sijategemea kabisa...
Kama mtumiaji wa Smartphone za Android ambaye hapendi Samsung, ningependa kujua kama kuna wakala wa SE hapa TZ au duka linali-specialize na simu za SE hususan Xperia range
habari wadau, kuna computer ukiwasha inaonyesha kuna program ya photo galley unfinished ila sina cd iliyotumika kuinstall hiyo program na ukienda kwenye installed program haionekani.msaada jinsi...
Ee bana, receiver ya dish langu hapa linacorrupt everytime, na ile decoder inajiandika user, sasa hapa channel zote zimefutika na fundi anatuiibia hela tu,akija anapoteza muda mwingi na remote...
Nimetumia Internet Explorer, Mozilla, Opera na Rockmelt. Mpaka sasa naona bora Opera lakini zingine zaidi sijatumie. Kama kuna mwingine ametumia zingine naomba maoni yako, web browser ipi bora...
Ndugu wana JF wenzangu, naombeni msaada wa kujua kuwa nitahitaji stabilizer ya watts ngapi kwa ajili ya pump ya maji ya kutumbukiza kisimani yenye nguvu ya farasi mmoja, yaani horse power moja...
Samahani wakuu naweza kupata mtu mwenye key/serial number za hii kitu nimeidownload kama trial ila inaniomber serial number nimejaribu kuzigoogle nimeambiwa nizinunue! ntashukuru kama mtanipa...
Wajameni naombeni mnisaidie maana kuna siku nilikuwa najaribu kuunga internet kwenye simu ya mtu sasa nikajaribu kwanza kuunga kwnye simu yangu ya nokia 6233 kwa kutumia ile njia ya kupia *148*01#...
Wakuu kuna laptop HP fundi kasema imeharibika CHIP SET.
Napenda kufahamu mahali walipo agents wa HP TanZania:dsm/mwanza ili ipelekwe waitengenze.
Kama kuna mtu ana...
WANA JAMVI TATIZO LANGU NI KWAMBA NINA DESKTOP YA HP NA TATIZO LAKE NI KWAMBA NINAPOKUWA NINAFORMAT NINAKUTANA NA TATIZO HILI, INSTALLING WINDOWS YENYE DAKIKA 39 INAENDELEA VIZURI MPAKA DAKIKA YA...
DME is soon going to take most of the ERB preliminary activities and is in the effort of organising itself. There will be AGM for the same division to be communicated later.
DME has arranged an...
Free Video Converter is the software designed to convert video formats of various types and does cost free to use. If your video player does not support some video format and you want to convert...
Kunatatizo linanipata kwenye account yangu ya yahoo,kila nikitaka kulog in inaniletea msg yakuwa invalid username or password,lakini kila kitu kipo sawa nashangaa tatizo ni nini,yeyote mwenye...