Tigo internet!

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,285
Wajameni naombeni mnisaidie maana kuna siku nilikuwa najaribu kuunga internet kwenye simu ya mtu sasa nikajaribu kwanza kuunga kwnye simu yangu ya nokia 6233 kwa kutumia ile njia ya kupia *148*01# na kisha kuchagua kifurushi na kufanikiwa...sasa KERO inakuja tangu siku ile yaani KILA siku wananiuunga bila mi kutaka na kunikta hela yangu...naombeni mnisaidie najitoa vipi katika shida hii!!
 
Tatizo hilo hata mimi nimejaribu kujiunga kwa namba *148*01# hawajaniunganisha,lakini wananitumia sms na kukata fedha.
 
Back
Top Bottom