1 HP Water pump inahitaji stabilizer ya watts ngapi?

Nyikanavome

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
482
176
Ndugu wana JF wenzangu, naombeni msaada wa kujua kuwa nitahitaji stabilizer ya watts ngapi kwa ajili ya pump ya maji ya kutumbukiza kisimani yenye nguvu ya farasi mmoja, yaani horse power moja. Sehemu ninayokaa umeme wake wa TANESCO haujatulia.

Natanguliza shukrani
 
1HP=746watts =0.746kW
kwahiyo 746watts hiyo ndio load yako so unahitaji stabilizer ya 1kW=1000w watts to control the flactuaction of voltage na nyingi zipo interm of kVA so wambie wakupe 1kVA stabilizer..
 
ahsante jaluo nyeupe, vipi surge power ya pump sio kubwa sana kuwa pengine inahitajika kubwa zaidi? ninako ka watts 1000 nyumbani lakini sijajaribu kuunganisha nikiogopa kanaweza kuungua.
 
Back
Top Bottom