Msaada -chip set. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada -chip set.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Salanga, Nov 14, 2011.

 1. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakuu kuna laptop HP fundi kasema imeharibika CHIP SET.

  Napenda kufahamu mahali walipo agents wa HP TanZania:dsm/mwanza ili ipelekwe waitengenze.
  Kama kuna mtu ana alternative nitashukuru kwa maelekezo.

  Nawasilisha.
   
 2. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Weka maelezo ya kutosha kuhusu kinachoisumbua laptop yako na sifa zake (specification zake). Ni chipset au ni drive ya chpiset ndio ina matatizo??????
   
Loading...