jamani airtel kuna nini?

jamani airtel kuna nini?

Paje

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2010
Posts
1,185
Reaction score
486
ndani ya wiki hizi mbili kumekuwa na ajabu kuhusu internet ya airtel. waliopo junguni watuambie kuna nini siku hizi. maana inaonekana ni ya ajabu kabisa. something that sijategemea kabisa. hebu ona attechments

uDcnjnb7p1AAAAABJRU5ErkJggg==
 
Airtel wazushi sana hawa..nilijiunga na bandle nikijaribu ku-connect inagoma nikipiga simu wananiambia tushashughulikia subiri 24hrs..hakuna kilichotokea jana nimeeneda pale M/city wamehangaika hata internet yao pale inawazingua..hatimaye nikatoka kama nilivyoenda..nikimaanisha nmepata hasara
 
Performance ya hiizi Telecom companies na hasa Air tell imeshuka dramatically hasa baada ya out sourcing. IT depertment imekuwa out sourced kwenda IBM, network na Operation wameeenda Nokia-simens na Custormer care wamepelekwa Spanco! Yaani imekuwa balaa hamna uwajibikaji na wafanyakazi hawana hamu na kazi tena kila kitu kimekuwa bora liende. Wasipo angalia hii kampuni itakufa kifo cha mende.
 
Back
Top Bottom