Wakuu msaa keys za sony vegas movie studio platinum 10.0 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu msaa keys za sony vegas movie studio platinum 10.0

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mzee wandimu, Nov 13, 2011.

 1. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Samahani wakuu naweza kupata mtu mwenye key/serial number za hii kitu nimeidownload kama trial ila inaniomber serial number nimejaribu kuzigoogle nimeambiwa nizinunue! ntashukuru kama mtanipa msaada hata ushauri wa kunielimisha utanifaa! asanteni!
   
 2. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mkuu this is your lucky day presenting the multi-keygen of all Sony Vegas version kuanzia 8 mpaka the newest kabisha 11 pro na pia alot of

  other softwares and works 100% idownload apo chini nimei attach:

  keygen.jpg
  Just select sofware gani unayotaka kupatch kama apo nimeselect i think ndo iyo unayohitaji then click Patch.. sasa apo kuwa makini sana

  unaweza usifanikiwe browse to local disk C.. Program files.. Sony Vegas.. sasa click iyo folder usingie ndani ya folder kama umeiselect correctly

  then click ok utaona itaanza kupatch kama sekunde 10 hivi.. sasa kama ukiclick OK na haifanyi kitu au inatokea ERROR! haujaselect iyo folder

  ya Sony Vegas apa unaweza ukawama kidogo but after some trial utona itakubali ikisha patch then copy iyo serial n.o alafu sasa open iyo

  program na weka apo iyo serial key then apo kwenye register unaweza ukaskip au ukaandika.. then itasema inaactivate mwishowe italeta fail of

  error na itasema activate via Activation/Authentication Code... sasa copy iyo kutoa kwenye iyo keygen apo juu inaherufi nyingi sana hakikisha

  umeselect yote napendekeza ucopy kwa shortcut/using your keyboard(after selecting click CTRL +C (COPY) then nenda kule na click

  CTRL+V(PASTE)) then click ok na utaona inaload na kufunguka na kusema kuwa its activated by iyo serial number uliyoweka.


  GOOD LUCK MKUU!!!
   
 3. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu asante nimejaribu mpaka nimechoka wacha nikale nirudi nikifanikiwa ntakupa fidibaki!
   
 4. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ok mkuu.. yah! ata mimi nilisumbuka mwanzo kidogo apo kwenye kupatch lakini finally nikaweza.. ningeweza elezea kwa picha but haiko kwenye pc

  yangu niliwaekea marafiki zangu wao ndo wanaiyo VEGAS... Sasa ikikusumbua sana usiangaike sana fanya hivi:

  Download hii sofware hapa ni 3mb tu Teamviewer hii sofware itaniwezesha kuja hapo kwenye computer yako virtually nakuona kila

  unachokifanya mwanzo mpaka mwisho wa session sasa just download it then install it.. watakupa id na password then ni pm na hizo detail.. then

  sasa nitaweka huku na intaniunganisha na computer yako nakuona unachokifanya then nitakuelekeza vizuri na Utafinikiwa tu.
   
Loading...