Dish Jeupe limecorrupt...Plz help

Dish Jeupe limecorrupt...Plz help

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,541
Reaction score
7,372
Ee bana, receiver ya dish langu hapa linacorrupt everytime, na ile decoder inajiandika user, sasa hapa channel zote zimefutika na fundi anatuiibia hela tu,akija anapoteza muda mwingi na remote anazuga nayo kumbe ni frequence tu, halafu anavuta mpunga mnene toka kwa mzee, mi nshachoka sasa. Mwenye kujua frequences za haya madish meupe ya urabuni anijuze au anipe link na procedure zake za kuandika, this wekend is so boring, kama specification au location unahitaji nitakujuza. Tv limegoma hapa, nahitaji quick responce wakubwa!! My Regard!!
 
Ok channeli zinazozishika ni
  • ITV
  • STAR TV
  • CHANNEL 10
  • EAST AFRICA-CH 5
  • TBC1
  • CAPITAL
  • ZILE TV ZA SOUTH SIJUI SABC...LAKINI HIZO ZA JUU NDO MUHIMU@ ...CHIPUKIZI
 
AGAPE ilikuwa inashika lakini nayo ilicorrupt kitambo tu
 
Unatumia receiver ya aina gani?Media com,Gulf Star?Strong au nini?
 
Hela zitawatoka sana kwa sasa iyo aina ujanja uwezi kujua istolesheni kiivyo. Kwa sasa kama unatumia dish la fut 6 kuna kausumbufu. Labda utumie dish ft 8 hapo shida zitakwisha. aina ya risiva yako pia shida maana signo kwa sasa zimeshuka ila kama unataka izo za nje sawa maana signo yake ipo safi .baadae
 
dah yaani jukwaaa zima hamna msaada....mwajameni mwenye frequence anipe basi...mi naendelea kurefresh page
 
Kwa frequencies za channel za Tanzania tembelea HAPA na za South Africa siko sure sana but jaribu zilizopo HAPA apo scroll chini kabisa mpaka

uone MY TV then anza kujaribu hizo frequencies kuanzia hapo.. vinginevyo vyote juu ya MY TV haikubali so anzia hapo.

Jinsi ya kutambua ipi ndo Symbol Rate na ipi ni Frequency angali iyo picha chini:

frequency.jpg
 
View attachment 41271
mkuu hapa ashamaliza kila kitu
 
Thanx kijana ngoja nianze kufanyia kazi...hizo link
 
​Ndugu mbona unamdanganya mwenzio mchana kweupeee! toka lini kwenye installation unaanza na symbolate kisha frequency,Pili toka lini symbolate ya TBC1 ikawa 3892 na frq ikawa 4444. Bwana Sinziga jedwali liko sawa hizo zinazoanza ndo frq na zinazofuata ndo symb
 
Thanks kwa marekebisho...infact ndio nazipitia hapa
 
Ndugu mbona unamdanganya mwenzio mchana kweupeee! toka lini kwenye installation unaanza na symbolate kisha frequency,Pili toka lini symbolate ya TBC1 ikawa 3892 na frq ikawa 4444. Bwana Sinziga jedwali liko sawa hizo zinazoanza ndo frq na zinazofuata ndo symb
thanks kwa kunirekebisha nimezichanganya mkuu
 
Back
Top Bottom