Naulizia Wakala wa HP hapa DAR.

Naulizia Wakala wa HP hapa DAR.

Bhbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
714
Reaction score
210
Waungwana wenzangu wana JF naomba kujuzwa ni wapi zilipo ofisi za wakala wa HP Computer hapa Dar.
 
hp pale upanga jirani na muhimbili junction ya mindu st na un road
 
kuna company inaitwa COMPUTER CENTRE TZ ipo posta opposite na maktaba square ni wakala wa HP hapa tz
 
wakala wa hp tanzania ni UNIVESAL SULUTIONS COMMUNICATION (T) LTD office zao zipo haidary plaza, ground floor
kwa bidhaa kama tonner,spear wanaofisi TONNER&CARTIRDGE (T)LTD wapo pembeni ya msikiti ulopo nyuma ya hindu mandal hosp
 
Back
Top Bottom