Je, kuna wakala wa Sony Ericsson Dar es Salaam?

mpinga shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,236
954
Kama mtumiaji wa Smartphone za Android ambaye hapendi Samsung, ningependa kujua kama kuna wakala wa SE hapa TZ au duka linali-specialize na simu za SE hususan Xperia range
 
Trust me..samsung is the best of the android handset maker why do u think wao ndo wana share kubwa?sababu wanatengeneza cm nzuri..go wth the samsung galaxy's range
 
Kama mtumiaji wa Smartphone za Android ambaye hapendi Samsung, ningependa kujua kama kuna wakala wa SE hapa TZ au duka linali-specialize na simu za SE hususan Xperia range
mkuu, hakuna wakala mkuu!!

mimi mwenyewe kuna Xperia x2 imenisumbua balaa!! xperia x8 nayo inaanza yaleyale!!
nunua samsung mkuu!
 
mkuu, hakuna wakala mkuu!!

mimi mwenyewe kuna Xperia x2 imenisumbua balaa!! xperia x8 nayo inaanza yaleyale!!
nunua samsung mkuu!

Xperia X2 siyo android hiyo ni Windows mobile. X8 tatizo no hiyo Android OS ya 1.6 ambayo imepitwa na wakati unaweza kui-upgrade hadi android 2.1.
shida ya Samsung hardware zake huchoka haraka nami nataka kitu cha miaka 3 na zaidi
 
Jamani mbona mnaongea tu bila kuwa na data kamili! Wakala wa SE Dar wapo tena wana page yao facebook na namba za za simu ni hizi hapa kama unashida wako faster kukuhudumia tatizo ulilokuwa nalo, namba yao ya service center ni 0713 889900 kila la heri,
 
Back
Top Bottom