Msaada wa kwenye bios setup.

baina

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
219
59
WANA JAMVI TATIZO LANGU NI KWAMBA NINA DESKTOP YA HP NA TATIZO LAKE NI KWAMBA NINAPOKUWA NINAFORMAT NINAKUTANA NA TATIZO HILI, INSTALLING WINDOWS YENYE DAKIKA 39 INAENDELEA VIZURI MPAKA DAKIKA YA 34 NA IKIFIKA HAPO INASTOP NA SENTENCE ZA TECHNICAL PROBLEM NA NYINGINE INASEMA try replcing video adapter. SASA KUNA MTU MMOJA YEYE AMESEMA KWAMBA ILI KUSOLVE SHIDA HIYO INABIDI KABLA HAUJAANZA KUFORMAT UENDE KWENYE BIOS NA U-DISABLE HIZO ADAPTER HILI WAKATI WA KUFORMAT ZISIINGIE NA UKIMALIZA UTAZIINSTAL MANUALLY. SHIDA YANGU NI KWAMBA NAOMBA NISAIDIWE JANSI YA KUZIONA HIZO ADAPTER NA KUZIDISABLE KWENYE BIOS SETUP KWANI KULE SIPAPATI VUZURI. MSAADA TAFADHALI KWANI MPAKA SASA HDD YANGU HAINA WINDOWS NA NINA KAZI KIBAO.
 
Kwanza punguza munkari mkuu...hizo herufi kubwa tupu zinaumiza macho! Halafu ingekuwa jambo la msingi sana kama ungeweza kumbana vizuri uyo jamaa kwanza kuhusu hayo aliyokwambia isijekuwa na yeye alikuwa anabahatisha tu! Ok..sasa ili kuingia kwenye bios setup mara nyingi pc nying hutumia ku press button ya F2 wakati inaboot so try to do that sasa ukishaingia huko inabidi uwe makini na unachokifanya..kukupa details zote hapa inakuwa vigumu maana hatuioni hiyo pc yako na kila pc inakuwa na mfumo wake ndani ya bios screen..but as long as it's in english na kama wewe unaelewa hiyo lugha unaweza kucheza nako ikakubali..cha msingi ukishaingia kwenye bios setup tafuta section unayoona inahusiana na mambo ya video displays ipo sehemu utapata nia tu na kutatua tatizo lako! Ingawa pia kuna uwezekano ikawa tatizo ni la hiyo display adaptoy yako mbayo kwa hiyo suluhisho ni kuchange vga adaptor!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom