Jamani sijui kama ni mimi peke yangu naibiwa, ukiweka salio hakuna kitu kinachoingia, tigo pesa nako wamenikata bila sababu. ukipiga simu ndio balaa, mara namba yatumika, mara haipatikani, mara...
kutokana na mfumo wa kurusha matangazo ya tv kubadilika kutoka analogi kuwa digitari kuanzia mwakani,kuna kitu kinanichanganya juu ya haya makampuni ya kutoa huduma hiyo ambayo yapo manne...
Haya tena wadau, kwa wale ambao bado hawajabahatika kupata Kiolesura Fungasha Kiswahili cha Windows® XP (language pack) leo nakileta mbele yenu..(kwa watakaopenda) ..Kiolesura Fungasha Kiswahili...
hii pc nikiiwasha yaishia tu kuandika welcome haifunguki zaidi ya hapo...na hiyo imetokea baada ya kuinstall antivirus kisha nika restart as per requirement, Msaada pls wale wataalamu wa kujitolea...
wadau naombeni msaada wa kupata free symbian games na apps mbalimbali kwa nokia 5320! Napenda sana games ila source ndo sizifaham hasa games za gameloft kama real football 2010... Nisaidieni jamani!
Naombeni ms2ada jamani.Nimeweka OS aina ya xp kwenye PC YANGU ya pentium 2.driver zote za sauti zimekataa kufanya kazi.naombeni msaada.jina la PC linanipa shida limeandikwa kwa kichina
As massive poverty continues to rock the majority of Tanzanians, the latest data reveal that Tanzania`s wealth in terms of the top five metals out of eleven...
A Virus Program to Block Websites
Most of us are familiar with the virus that used to block Orkut and Youtube site. If you are curious about creating such a virus on your own, here is how it...
Ever wondered to know how to hide secret messages in images, audio and video files? Well, in this post I will take you through a concept called steganography using which, it is possible to hide...
Habari wadau?
Computer yangu inadisplay maneno haya "you may be a victim of software counterfeiting-This copy of windows did not pass genuine windows validation".
Nimejaribu kwa uwezo wangu...
CPU za Loongson zilizotengenezewa na China zaingia kwenye soko la kimataifa
Kutokana na maendeleo ya teknolojia ya upashanaji wa habari, bidhaa mbalimbali za upashanaji wa habari kama vile...
Imeanza jioni hii. Nikiwasha sikirini inakuwa nyeusi ikiambatana na maneno 'BOOTMGR is compressed
Press Ctrl+Alt+Del to restart'
nikifanya hiyo command inazima, ikiwaka inarudi tena vile vile...
This article is all about, how to connect laptop to TV. The small screen of our laptops may not always be the right interface, to watch a movie, or for a matter of fact, show some digital...
habari waungwana ...,
Nahitaji kununua Electric Jug-Cattle + Domestic Blender kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya nyumbani, tafadhali naomba ushauri kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu the best...