Wakuu mimi natumia Boksi ya UFI kwa kweli pamoja na sifa mbovu za hili boksi nimefanikiwa kufufua simu kadhaa na kuua simu 2 nikijaribu kutoa MDM nikiwa najifunza na kuamsha simu zilizokufa...
Kwa miaka 6 kumekuwa na vitu vinaitwa Whatsapp Gb,Yo Whatsapp ,Gb instata na nyinginezo ambazo mtu anatumia na kuweza kupata access ya hiyo.mitandao sema anakuwa anapata vionjo vingi ambavyo...
Habari wakuu kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, nime publish app ya blog yangu katika soko la google play store tangu asubuhi lakini mpaka sasa jioni haijakuwa published ipo draft na status yake...
simu ipi bora Infinix Hot 12 Vs Samsung A13.
Infinix hot 12 pamoja na Samsung A13 zote zimeachiwa mwaka 2022 Ila miezi tofauti moja ni wa nne nyingine wa tatu zikiwa na mionekano ya kushangaza...
Wadau, kama kuna mtu yeyote humu mwenye specification ya hizi simu janja zinazouzwa na Tigo, almaarufu kama "Kitochi 4G" naomba aniwekee hapa.
Maana nimejaribu kugoogle sijafanikiwa. So nataka...
Unahitaji kununua simu mpya lakini kwa bei hiyo hiyo unakutana na simu used yenye uwezo mkubwa zaidi ya mpya. Unabaki njia panda
Maamuzi sahihi ni kununua simu mpya na maamuzi sahihi ni kununua...
Habari,
Katika jitihada za kufanya Nuru (lugha ya kiprogramu ya Kiswahili) iwe rahisi kutumika, tungependa maoni yenu katika kupendekeza misamiati za programu (programming terminologies)...
Jamani hizi gb WhatsApp leo sizielewi, nadhani ndio ishafungiwa hii ya kwangu na kila nnayoitafuta haitoi majibu mazuri kwenye installation.
Tafadhali kama una latest gbwhatsapp antiban version...
Wakuu habari, Eid Mubarak.
Nina tatizo kwenye PS4 yangu ni Version 10.01 siyo ya kuchip. Nilienda kununua account ya game nikaweka games nikawa nacheza.
Bad news ni kwamba Game ya FIFA23...
Nimenunua Laptop mpya, cha ajabu ninapoiunga kwenye Hotspot ya simu, niliingia Internet data zinapukutika balaa kuliko ilivyokuwa kwenye Laptop ya zamani! Nini sababu na nafanyaje kuepuka tatizo hili?
Habari wakuu,
Nimekuwa interested na kujifunza teknolojia ya kuprint picha na kuziweka kwenye photo frame za mbao kama inavyoonekana hapo pichani.
Nimejaribu kuomba kufundishwa na watu...
salama wakuu wa kazi?
Moja kwa moja kwenye maada, Leo nimekaa zangu majira ya jioni nacheki luninga stesheni ya channel 10. Kulikuwa kuna kipindi cha TEKNO UBUNIFU kama sijakosea.
Katika hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.