Swahili Programming Terminologies

AVIC3NNA

Member
Jan 5, 2023
5
13
Habari,

Katika jitihada za kufanya Nuru (lugha ya kiprogramu ya Kiswahili) iwe rahisi kutumika, tungependa maoni yenu katika kupendekeza misamiati za programu (programming terminologies) tutakazotumia katika lugha ya Nuru.

Tunaomba ufanye maneno utayopendekeza kuwa mafupi na rahisi kuelewa.

Unaweza kutoa maoni yako hapa:

Asante.
 
Hii Nuru ni nini?
 
Back
Top Bottom