Je, simu ipi bora Infinix Hot 12 Vs Samsung A13?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
simu ipi bora Infinix Hot 12 Vs Samsung A13.

Infinix hot 12 pamoja na Samsung A13 zote zimeachiwa mwaka 2022 Ila miezi tofauti moja ni wa nne nyingine wa tatu zikiwa na mionekano ya kushangaza Sana je ipi simu Bora?

๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐˜€๐˜‚๐—ป๐—ด ๐˜€๐—ฝ๐—ฒ๐—ฐ:
6.6 inches , + LED flash, panorama, HDR
LCD display
Exynos 850(8nm) chipset + CPU octa-core
3 / 6 GB RAM + storage 32 , 64 , 128 GB
Battery Li-Po 5000 mAh, non-removable with fast charging support 15W
50mp, 1.8wide + 5mp (ultrawide) + 2mp (macro) + 2( depth) macro main camera
Font camera 8mp + 2.2(wide) + video 1080p@30fps
Android 12 with support one UI 4.1
214.96 --> Tz500,000/=

๐—œ๐—ป๐—ณ๐—ถ๐—ป๐—ถ๐˜… ๐˜€๐—ฝ๐—ฒ๐—ฐ๐˜€ :
6.82 inches , + Dual-LED flash
Display IPS LCD, 90Hz
MediaTek Helio G85 (12nm) chipset
CPU octa-core + Mali-G52 MC2
4GB RAM extended 3Gb + storage 128 Gb
Battery Li-Ion 5000 mAh, non-removable with fast charging 18W
13mp + 1.8 wide + AF 2mp QVGA + 1080p@30fps
8mp + Dual LED flash + 1080p@30fps
Android 12 with support XOS 10.6
180.57 --> Tz 420000/=

Ndani ya box
๐—ฆ๐—”๐— ๐—ฆ๐—จ๐—ก๐—š ๐—”๐Ÿญ๐Ÿฏ
Hii ni moja wapo ya toleo Bora la series ya Samsung A kwani muundo wake ni mzuri wa plastiki ikiwa na fingerprint yenye kupendeza, processor yake ni Exynos 850 changamoto iko polepole (slow) Sana wakati unatumia.

Ikiwa na 4G Kwenye intaneti not support 5G ,Sio amoled display Kama zilivyo Samsung zingine pia haifai kama wewe mpenzi wa ma game kamera yake Iko poa Sana Yani ukipiga picha Kama s22 ultra.

๐—œ๐—ก๐—™๐—œ๐—ก๐—œ๐—ซ ๐—›๐—ข๐—ง ๐Ÿญ๐Ÿฎ
Kwa upande wa Infinix hi ni moja wapo ya series Bora kabisa kuwahi kutokea za Hot series , kuanzia muundo wake ni mzuri, Uwezo wa kuongeza Ram Zaidi mpaka 3GB ili kuipa nguvu simu Yako.

Infinix imeendelea kuwashinda Samsung kwenye masuala ya betri kwani betri zao imara , Iko fast kwenye kuchaji na pia kumudu kwa muda mrefu. Pia hii ni simu nzuri Sana Kama wewe mpenzi wa game Iko fast haigandi gandi wakati unatumia.

Je ipi ni simu Bora tuachie maoni Yako ?

Teknolojia ni Yetu sote
IMG_20220524_175332_275.jpg
 
Hatimaye leo tunashuhudia mpambano kati ya Samsung vs Mkombozi wa Wanyonge

Ila tukiacha utani, ingawa kwa sasa natumia Samsung, ukipata infinix toleo la kwanza inayoanza na bei ya 400,000 utadumu nayo sana.
 
Sasa naweza kucoment, the only time mtu anaweza kukushauri kuchukua infinix over samsung ni kama specs za infinix ni kubwa mara mbili ya za samsung, does it apply hapa? Specs za hio infinix ziko chini sana kwa hiyo bei.
 
Kwenye hizo mbili specs wise Infinix ipo vizuri, ila zote mbili hazina Value for money.

Redmi 10C tigo ni bei rahisi na specs zake nzuri zaidi around 350,000 unaipata.

Na kama budget ndogo zaidi A03 na redmi 9 ni chini ya laki 3.

Kifupi galaxy A03 ni rahisi na Nzuri zaidi kuliko A13.
 
Back
Top Bottom