Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu, Nimeingia kwenye tovuti ya posta nimeona kuna sehemu wameandika kufungua virtual box. sasa nilikuwa nauliza je, kama nikifungua naweza kupokea mzigo kupitia sanduku hilo? Natanguliza...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, nimekutana na hii huko Twitter, kwa mwenye uzoefu na tigo je hivi vifurushi vipo kweli?Au ni mtu tu kaamua kujitengenezea graphics? Nilishakuwag na laini yao kipind flan, lakn...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Hello, Naomba msaada WhatsApp yngu imegoma kufanya kazi, kila nikijaribu kuirudisha inadai account is being on a registered new device! Nisaidien niirudishe vipi.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana Jf, ni matumaini yangu mpo salama, kwa wenye changamoto kidogo za kiafya au zingine zozote, basi Muumba awafanyie wepesi ndugu zangu. Samahanini huenda uzi sijui kuupangilia vizuri...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Siku ya tano hii kila nikijaribu kupakua novel au nyimbo inaandika download failed naombeni MSAADA
0 Reactions
1 Replies
340 Views
Wakuu nahitaji mtu anaeweza ku unlock hii router moja kwa moja iwe inatumia mitandao yote sio kama maelekezo ya youtube inakuwa ina unloked ila ikizima ukawasha inarudi tena locked sasa nataka iwe...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji mtaalamu wa ku unlock router ya flanklin 4g lte inayotolewa na kampuni ya smile.
1 Reactions
6 Replies
7K Views
A new artificial intelligence bot aims to destroy humanity and establish global dominance, according to a recent report.The question is whose dominance.This is obviously its' makers and...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Mwenye mchoro wa pre amp single supply an high pass na low pass anisaidie Pia wa tone cotrol single supply mchoro unaotumia jrc4558
0 Reactions
1 Replies
351 Views
Naombeni msaada.....nasoma chuo X hapa tz , Ni finalist na nnatakiwa kufanya final year project ili niwe awarded degree ya computer science.... Changamoto ipo hivi , tulipebdekeza project title...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Habari za mchana huu. Najua humu kuna wataalamu wengi, naomba anayeweza kunisaidia kuirudisha hii email yangu tafadhali. Niliitumia miaka ya nyuma kidogo na nimejaribu kufuata zile procedure...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari wana JamiiForums, Leo asubuhi niliripoti kukatwa na GOOGLE PLAY kimakosa kutokana na app moja ambayo ilikuwa ina run kwenye android yangu ambayo siku ya jana ilifanya malipo automatically...
3 Reactions
5 Replies
861 Views
Samahani wataalam ninaomba msaada namna ya kupakuwa movie kwa Telegram channel kwani inaoneka inashuka na mb zinakatika ila ikifika mwisho hakuna kitu na hii ni kwa format ya mkv ila kwa mp4 haina...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mwanzo nilikuwa hata kama sina bando nikiwa na line ya halotel naweza kuingia baadhi ya sites kama JF buree kabisa...lakini saiv inakataaa. Nimejarib kubadili line ya mtandao mwingine nako ni...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku.Mungu aendelee kutupigania katika harakati zetu ili tuweze kufanikiwa. Twende kwenye jambo lenyewe sasa. Wakuu mimi nina kiasi cha hiyo hela nataka...
5 Reactions
103 Replies
13K Views
1) Identify element of process operator overloading 2) Expalain stream unary and binary operators
2 Reactions
6 Replies
694 Views
This post intends to show the origins of Nuru, its purpose, what it can be used for, what it should not be used for and the potential future of the programming language. Background This language...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari mkuu. Naendelea kujifunza na kuwa Inspired sana na hii kitu AI, Midjourney, kadiri inavyobamba na kuzisogeza kwa karibu tasnia mbalimbali, hapa naweza kuzungumzia tasnia ya picha na...
3 Reactions
4 Replies
781 Views
Logic level: Logic level ni nini? Logic level ni kiwango maalumu cha voltage au kiasi maalumu cha voltage signal/ mawimbi ya umeme. Logic level ndo hupelekea kompyuta au mfumo wowote wa...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani. Nina akaunti twitter. Nimekutumia miaka mingi. Mie sio mtu wa kuandika andika sana. Ila huwa naweza kumjibu mtu. Siku moja maria teshai aliandika kitu mie nikatofautiana nae. Akaniblock...
1 Reactions
2 Replies
380 Views
Back
Top Bottom