Atumie hiyo make ipo vizuriTumia Aero WhatsApp
Hii hainaga mambo mengi mengi kama hizo zingineAtumie hiyo make ipo vizuri
tumia TM wasapJamani hizi gb WhatsApp leo sizielewi, nadhani ndio ishafungiwa hii ya kwangu na kila nnayoitafuta haitoi majibu mazuri kwenye installation.
Tafadhali kama una latest gbwhatsapp antiban version tafadhali tugawane.
Yani mwanaume unalalamika kuhusu gbwasap aiseeJamani hizi gb WhatsApp leo sizielewi, nadhani ndio ishafungiwa hii ya kwangu na kila nnayoitafuta haitoi majibu mazuri kwenye installation.
Tafadhali kama una latest gbwhatsapp antiban version tafadhali tugawane.
Maisha ndo haya haya... Tumia unachopenda, ukicomplicate mambo utapata tabu sanaYani mwanaume unalalamika kuhusu gbwasap aisee
M naona kupenda ayo magbwasap tuwaachie w.ke tu
Kwanza ww itakua ni m'mbea flani ndo mna unapenda izo kitu na izo ni sifa za kike bhana
Just tumia official tu
Hata mimi pia yangu inapiga mzigo vizuri tu...Mm yangu inadunda tu tatizo hamupdate