Laptop mpya lakini inakula sana MB. Nifanyeje?

Mu7

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
1,655
Reaction score
2,003
Nimenunua Laptop mpya, cha ajabu ninapoiunga kwenye Hotspot ya simu, niliingia Internet data zinapukutika balaa kuliko ilivyokuwa kwenye Laptop ya zamani! Nini sababu na nafanyaje kuepuka tatizo hili?
 
Unategemea hiyo windo iko updated kwa kiwango gani, ila laptop inapokua na window mpya inahitaji kudownload updates zakutosha ikiwa ni drivers na security updates ili kuipa ufanisi na usalama kabla ya kuendelea na matumizi, laptop ya zamani inawezekana imeshaunganishwa mara kadhaa kwenye mtandao hivyo imeshadowload updates zakutosha kuiwezesha kufanya kazi so haihitaji kudownload vitu vingi
 
Hii kitu inakua applied hadi kwenye simu mkuu??
Maana nakumbuka hii simu wakati mpya bando ni dakik sifiri limekata. Ila sasa hivi naperuzi bila wasi.
 
Unategemea hiyo windo iko updated kwa kiwango gani, ila laptop inapokua na window mpya inahitaji kudownload updates zakutosha ikiwa ni drivers na security updates ili kuipa ufanisi na usalama kabla ya kuendelea na matumizi, laptop ya zamani inawezekana imeshaunganishwa mara kadhaa kwenye mtandao hivyo imeshadowload updates zakutosha kuiwezesha kufanya kazi so haihitaji kudownload vitu vingi
Kwa hiyo nivumilie tu itakapokamilisha kuupdate mavitu hayo itapunguza ulaji, sio?
 
Yap hapo ipe bundle lakutosha, maana hakuna kuruka step itapita kila hatua ya updates kulingana na mtiririko wa updates zilizotolewa kwa hiyo running os
Ukiweza jaribu ku run updates check kila inapomaliza ku update ili kujiridhisha kama imemaliza
 
turn on metered connection wewe, bila hvyo utalia kila siku. haitafanya window update mpaka utake mwenyewe, hapo metered connection ipo off ndo mana updates zinafanyika automatically.
Hiyo sio permanent solution devices zinahitaji updates kwa usalama na efficiency
 
Kwa hiyo nivumilie tu itakapokamilisha kuupdate mavitu hayo itapunguza ulaji, sio?
Unaweza ku- pause updates, ila kuna uwezekano ikawa inamiss drivers na security updates muhimu.
 
Nimenunua Laptop mpya, cha ajabu ninapoiunga kwenye Hotspot ya simu, niliingia Internet data zinapukutika balaa kuliko ilivyokuwa kwenye Laptop ya zamani! Nini sababu na nafanyaje kuepuka tatizo hili?
Inaupdate window fanya network yako iwe metred connection ili iache update via hiyo network
 
Sasa si bando litalika tu polepole mpaka updates zikamilike! Sema labda litalika kidogokidogo kwa muda mrefu!
 
Nimenunua Laptop mpya, cha ajabu ninapoiunga kwenye Hotspot ya simu, niliingia Internet data zinapukutika balaa kuliko ilivyokuwa kwenye Laptop ya zamani! Nini sababu na nafanyaje kuepuka tatizo hili?
Speed ya internet ya wifi hotspot tu sio upya wa laptop,mimi natumia modem ya voda huwa kuna uafadhali kidogo ola nikiconect hotspot ni sekunde umamaliza Gb 1
 
turn on metered connection wewe, bila hvyo utalia kila siku. haitafanya window update mpaka utake mwenyewe, hapo metered connection ipo off ndo mana updates zinafanyika automatically.
Hiyo metered connection ipo sehemu gani mkuu kwenye pc
 
Sasa si bando litalika tu polepole mpaka updates zikamilike! Sema labda litalika kidogokidogo kwa muda mrefu!
Ukiifanya metered connection itakuwa haiupdate
 
Kwa ufanisi na usalama wa pc yako dhidi ya virus kuruhusu ifanye updating ni bora zaidi kuliko kuibania especially pc mpya
 
Back
Top Bottom