Kati ya Samsung a51 na Samsung a13 ipi ni bora?

Kati ya Samsung a51 na Samsung a13 ipi ni bora?

aad

Member
Joined
May 15, 2019
Posts
66
Reaction score
63
Wakuu je hapo kati ya simu hizo mbili ipi inafaa kwa matumizi.

Na vipi upande wa bei kwa Specifications hizi
Ram 6 GB
Storage 128 GB
 
A 13 ina 5000mAh na A 51 ina 4000mAh. Inayofaa kwa maturities ni A13 upended wa camera zipo sawaa
so unamaanisha kwa matumizi ya kikubwa zaidi ,au inayotunza chaji zaidi nichague a13?
 
Back
Top Bottom