Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,304
- 29,835
salama wakuu wa kazi?
Moja kwa moja kwenye maada, Leo nimekaa zangu majira ya jioni nacheki luninga stesheni ya channel 10. Kulikuwa kuna kipindi cha TEKNO UBUNIFU kama sijakosea.
Katika hali iliyonishangaza mpaka nkaishia kucheka na kuionea huruma nchi hii ya Tanzania ni Roboti aliyetengenezwa na Taasisi yetu moja hivi,
Kiroboti kipo kama lunchbox( wametoa vitairi kwenye vigari vya watoto vya kuchezea) afu too easy in assembling(naongea haya nina ka uzoefu na mifumo ya roboti)
Roboti huyo anaenda forward na reverse tu basi as if ni toy ya my 3 year old son. No other functions designed to operate
huyo Mtaalum akaenda mbali zaidi kwa kusema wanataka wenye viwanda wawaunge mkono ili waweze kufunga teknolojia hiyo kwenye viwanda vyao.(Mtu ashindwe kununua mashine china na kui-install haraka haraka asubiri nyinyi na roboti ya ku-move forward na backward tu)
wakati wiki chache zilizopita nilishudia watoto wa miaka 9 wakiuunda roboti wenye ukubwa huo huo na huyu wa roboti wa bongo nchini CHINA NA SINGAPOR na hao ni watoto tu tena wanajiuundia nyumbani tu
ila huku Tanzania imetangazwa kuwa ni ubunifu wa hali ya juuu.
hii sifia sifia ya Bibi Tozo inaharibu nchi
Ushauri: Kuna watu wana uzoefu na mifumo hii, watu wanavipaji na electronics, na robotics either kwa kusomea au natural born, wawezesheni ili nchi ifike mbali,Tusilete siasa kila sehemu aisee.
PICHA 01-(roboti wa Tanzania akiwa chini akisubiri amri ya mtaalum)
PICHA 02-(Roboti wa Tanzania akitekeleza majukumu yake- moving foward)
PICHA 03-(Roboti wa Tanzania akirudi reverse kurudi upande wa mtaalum )
ACHENI MAONYESHO YA AJABU AJABU.
HUKU KWETU......
maharage kwetu 4200/KG
mchele 3600/KG
Unga wa Dona 2000/KG
Nawasilisha.