PS4 Game Lock

Delacruzito

Member
Aug 5, 2019
99
92
Wakuu habari, Eid Mubarak.

Nina tatizo kwenye PS4 yangu ni Version 10.01 siyo ya kuchip. Nilienda kununua account ya game nikaweka games nikawa nacheza.

Bad news ni kwamba Game ya FIFA23 haichezi imeweka Lock icon, na kwa maelezo nayoyaona ni kwamba nime play game kwenye account ya owner. So kilichofanyika ni kwamba yule hacker au owner wa hiyo account amebadilisha password hivyo game haichezi tena.

Naomba yeyote mwenye anaweza nisaidia namna ya ku unlock hilo game kama inawezekana
 
Mkuu sio kwamba we umeconnect hiyo PS kwenye mtandao.
Maana ninavyojua ukiingia kwenye account yako kwenye browser unaweza logout kwenye ps zote hivyo ukiconnect PS kwenye mtandao lazima ilogout.

Sema fanya mpango ununue kwa account yako now kuna discount unapata kwa 40$ had tar 27 April
 
Wakuu habari, Eid Mubarak.

Nina tatizo kwenye PS4 yangu ni Version 10.01 siyo ya kuchip. Nilienda kununua account ya game nikaweka games nikawa nacheza.

Bad news ni kwamba Game ya FIFA23 haichezi imeweka Lock icon, na kwa maelezo nayoyaona ni kwamba nime play game kwenye account ya owner. So kilichofanyika ni kwamba yule hacker au owner wa hiyo account amebadilisha password hivyo game haichezi tena.

Naomba yeyote mwenye anaweza nisaidia namna ya ku unlock hilo game kama inawezekana

Ulinunua acc ya mtu mwengne au uliwekewa digital games?

Mi nimeweka digital games wakanipa na ka flash, kila nikiiwasha natoa lock ya game kisha mambo swaafiii
 
"Nina tatizo kwenye PS4 yangu ni Version 10.01 siyo ya kuchip. Nilienda kununua account ya game nikaweka games nikawa nacheza"

Unafahamu vizuri kuhusu kuchip game?wasiliana na mwenye account game limecrack ni mwendo wa kuweka upya

Vipi hukuunganisha na Internet?
 
Back
Top Bottom