Ndugu habari zenu.
Kwa wale mnaofahamu bei za PC Zanzibar naombeni mnipe bei za Macbook air 2022 na Hp spectrum. Naombeni bei kwa brand new na refurb, maana huku bongo mizinguo sana.
Habari ya wakati huu wana JF,
kwenu wabobezi wa tehama, kuna uwezekano wa kuifanya hard disk ya 4TB ikawa external. Na nini vya kuzingatia wakati wa kufanya mchakato huo wa mabadiliko...
TEMPLATE YA MATOKEO KWA SHULE ZA MSINGI! Kwa walimu wa shule za MSINGI wanaohitaji kiolezo(template) ya kuchakata matokeo ya wanafunzi baada ya mitihani au majaribio,au wanaohitaji kiolezo...
Mtandao wa Starlink umeanza kupiga kazi Rwanda tena porini huko vijijini.
Mimi kijijini kwetu mtandao ni shida, sasa Starlink ije niipeleke bush niwe naenda kwa uhuru.
Habari za muda wakuu poleni pia hongereni kwa harakati za kulijenga taifa. Okay bila kupoteza muda niende.
Kwenye mada husika
Je ni wangapi, wamewahi pigwa vifaa vya tech ikiwemo simu, Laptops...
Wadau kwema, mimi hii kitu huwa nashindwa kuieleza kabisa na pia huwa sielew inakuwaje.
Nina jamaa zangu wawili bahat mbaya sipo karibu nao wao walikuwa wanaishi kwa hii mingo, yaan wanapost ads...
Leo nimeona nilete list ya simu kumi bora kwa sasa. Simu nyingine zimetoka mwaka Jana na nyingine zimetoka mwaka huu na kwenye hii list zote hizi ni flagship. Sitaelezea sana nitaweka tu jina la...
Majuzi Alhamis wakati napita pita huko Quora,nilikutana na post iliyokuwa imeandikwa (katika mtindo wa swali) kwa maneno yenye weusi mkolezo, kilichonivutia na kuukonga moyo wangu, ni utamu wa...
asalaam
moja kwa moja niendw kwenye mada, nina remote ya kuingizia umeme
sasa inasumbua kuingiza umeme yaani tangu asubuh nahangaika na kila nikiingiza naona ina search tu bila mafanikio
na...
Tv yangu haina sehem ya kuset Random video playing From flash drive. Ni vipi naweza kuipata hiyo huduma.Mp3 iko poa ila Mp4 zinaplay in order(from a to z) nahitaji zipige randomly ila hio option...
Nina pocket router huwa naitumia katika shughuli zangu, uwezo wa battery yake umeshuka na sasa inakaa masaa mawili ama matatu tu.
Nina power bank ina 10000 Mah, nataka niwe naitumia badala ya...
Nina Laptop mpya aina ya ACER EXTENSA 15. Ilikuja na Windows 11 nikaibadili kuwa Windows 10 Pro.
Ninapenda kuscroll kwa kutumia vidole viwili badala ya kutumia Scroll bar lakini hii pc...
Hili swali nimekuwa nikijiuliza bila kuelewa, nimekuwa nikisikia majibu kama chumvi mbichi na chumvi iliyoiva, sielewi ni namna gani chumvi inaitwa imeiva wakati yenyewe ni kemikali.
Tuchukulie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.