Naomba ushauri kwa anayeijua Samsung Galaxy A13

Naomba ushauri kwa anayeijua Samsung Galaxy A13

A13 ni simu moja na A21s,

Processor yake inakula umeme kidogo itakaa na Chaji ila perfomance yake ipo hovyo itakua slow kufanya jambo lolote zito.

Kutegemea na bei unaweza pata simu nzuri zaidi.
Kwanini A series camera zao ni mbaya sana?
Picha kama zina kigiza hivi
 
A13 ni simu moja na A21s,

Processor yake inakula umeme kidogo itakaa na Chaji ila perfomance yake ipo hovyo itakua slow kufanya jambo lolote zito.

Kutegemea na bei unaweza pata simu nzuri zaidi.
ivi chief kati ya A13 na Infinix hot 12 ipo ipo pouwa zaidi kwa matumizi mazito
 
Kwangu ni simu bomba kutokana na viwango vyangu.
Kama hujawahi kutumia simu nzuri za kiwango cha juu hii ni simu nzuri kwa bajeti ya kiwango cha mshahara wa kima cha chini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom