msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kadamfu, Jan 23, 2012.

 1. Kadamfu

  Kadamfu Senior Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nina2mia app ya opera kwenye cm yangu lkn tatizo haiwezi kudownload why
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,761
  Likes Received: 7,056
  Trophy Points: 280
  kama opera yako ni ya java inamaana unadownload picha miziki na sauti ila hutaweza kudownload vitu kama games na application za java maana itakutoa kwenye opera na kukuleta katika built in browser, kuweza kudownload mafile ya java kwa simu yako download ucweb au qq browes hii hapa link ya ucweb http://m.ucweb.com kama una tatizo zaid post aina ya simu yako
   
 3. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  angalia configuration za internet. Hakikisha umechagua access point ya mtandao wako
   
Loading...