Osaba
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,937
- 772
Wakuu nina simu yangu aina ya black berry bold 8520 nikiiwasha inaniletea msg ya app error 523 reset,nimejaribu kufanya kila njia ikiwa pamoja na hard reset bado tatizo liko palepale ,msaada plz jinsi ya kutatua hilo tatizo maana imefikia hatua ya kumpa mwanangu mdogo wa kiume afunge kamba ili aifanye kigarigari.