msaada utorent

Nyamburi

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
306
36
Wadau samahani,naombeni mwenye maujuzi ya jinsi ya kudownload utorrent kwa maana ya kuinstall kwenye computer yabgu anisaidie,au kama kuna mtu anajua software yoyote makini kwa ajili ya movies dowload anisaidie wakuu,asanteni
 
mda wa utorrent sasa umekwisha wa2 tumehamia kwenye bitcomet ni bonge moja la program. jaribun wa2 wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom