hii browser ya OPERA ni kiboko yao !

hii browser ya OPERA ni kiboko yao !

qq.com

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2012
Posts
367
Reaction score
123
kwa wanaotumia mozila,explorer nk ebu jaribu kutumia opera ni safi sana
kitu kama unatumia computer za mac ,safi sana wakuu hata katika kuwnload ni safi kabisa

nimeipenda sana mimi
 
jaribu GOOGLE CHROME,,,,,,,,,,

logo-google-chrome-origine.png
 
Yep kaka mi mwenyewe naitumia kwanzia 2010 ni kiboko

bora mozila hata internet ikiwa low inafanya kazi fresh tu sio sawa na hiyo chrome ambayo kila siku inakuwa updated..
 
Mimi nadhani kwa slow connection zetu za kibongo angalau mozila wanajitahidi, chrome na internet explore ni vimeo sana kwa slow connection
 
kwa wanaotumia mozila,explorer nk ebu jaribu kutumia opera ni safi sana
kitu kama unatumia computer za mac ,safi sana wakuu hata katika kuwnload ni safi kabisa

nimeipenda sana mimi

Jaribu google chrome. is the best na haitumii memory kubwa
 
Opera ni nzuri kwa ku copy na ku paste kutoka kwenye web lakini ni slow kuliko Chrome ambayo kwa sasa ndiyo the best kwa speed.
Hata hivyo layout ya Opera ni nzuri kwa desktop.
Mozilla kwa sasa ni pathetic, nzito na siyo intuitive.
IE explorer inaelekea kufa kama ilivyokufa Netscape labda version 10 itakayokuja na Windows 8 itarekebisha mambo.
Opera Mini inabaki mfalme wa simu zote.
 
Kwa PC opera nzuri when internet speed ipo fast.but kwa internet speed zetu za bongo hizi speed ikiwa slow kidogo tu opera inagoma au page inaweza load with some features missing.opera nzuri kwa simu may be. Mozila is the best on my opinion. Hata speed ikipungua bado inapeleka mzigo tu.pia safari browser and google chrome are good
 
mi nimehakikisha opera inaboost speed 2x kama huamini connect modem then chagua slow network yaani gsm then fungua opera download kitu ukiwa ume enable opera turbo on. then mark download speed ie, 8kb/sec then fungua browser nyengine download kitu utaona speed imezidiwa mara 2.
 
Sasa finally tuchague hipi maana hapa kila mmoja anasema ya kwake!!sasa sisi tunao wasikiliza mnatuchangaya jueni miruzi mingi ilimchanganya mbwa!!
 
Sasa finally tuchague hipi maana hapa kila mmoja anasema ya kwake!!sasa sisi tunao wasikiliza mnatuchangaya jueni miruzi mingi ilimchanganya mbwa!!

kaka.., uhondo ngoma ingia ucheze! Huenda nawe utarudi hapa kushuhudia iliyo bora kwako. Mimi nimetumia zote lkn firefox na chrome ndio favourite yangu
 
Back
Top Bottom