vipimo vya masafa vya star tv

security

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
322
75
Wakubwa naomba kama kuna anayejua vipimo vipya vya masafa star tv. Ni juzi tarehe 20 ndio nasikia wamehama. Natumia c band dish. Samahani kama nitakuwa nimekorogakoroga.
 
chungulia kwenye ile mada ya jana iliyoletwa na yahaya wa star tv wakati anamhoji kafulila
 
Search Thread 'star tv frequences' jana ilikuwa jukwaa la Habari na Hoja mchanganyiko au Jukwaa la Siasa Thread ya Yahya Kafulila on Star Tv....
Zipo huko.
 
Wakubwa naomba kama kuna anayejua vipimo vipya vya masafa star tv. Ni juzi tarehe 20 ndio nasikia wamehama. Natumia c band dish. Samahani kama nitakuwa nimekorogakoroga.

Satellite downlink parameters for Star TV
SR 4900 KS/s
FEC 1/2
Frequency 3884MHz
Polarization LHCP
Sat IS 906.​

Back
Top Bottom