iphone 3G unlocking naomba msaada tafadhali

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
wakuu wataalamu wa kuchakachua, nina iphone 3G , sijue nifanyanye ku unlock?
 
Ina version gni ya OS. sina utaalamna simu but ninafuatilia mambo ya teknolojia kuna kitu kintwa Jail braking. kama ina latest iiOS itakuwa kazi kubwa kidogo but kwa uwezo wako nadhani huwezi kushindwa. But wakati unasubiri wataalamu jua version ya OS au firmwaare. Wadondoshee hapa wataalamu wakupe njia.
 
wakuu wataalamu wa kuchakachua, nina iphone 3G , sijue nifanyanye ku unlock?

mkuu ebu niambie ni baseband gani na pia ni firmware gani ili nikuelekeze namna ya Jailbreak na kisha succesful unlock kwani hayo ndio ya msingi mkuu na kama una idea kabisa pia tufahamishane mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom