Megaupload is BACK (word onda street) NOT 100% CONFIRMED MAYBE A SCAM

Megaupload is BACK (word onda street) NOT 100% CONFIRMED MAYBE A SCAM

Wajanja wanachukuwa advantage. Wale jamaa wa megaupload hata dhamana wamekataliwa.
 
Huo ni mwanzo tu wa USA kuanza kupoteza dominace na market share yake kwenye website hosting business. Maaaa hiyo ip ni ya Uholanz. Nchi zinazo advcate free and sharing of information kama scandnavia na Uholanzi kwao ni opportunity.

Ngoja tusibiri tuone wakija wakaweka na mafile ya megaupoalad ya mwanzo basi watakuwa wenyewe lakini kama wakichakachua jina tu basi watkuwa wasanii.

 
Back
Top Bottom