NAOMBENI MSAADA(Internet) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAOMBENI MSAADA(Internet)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by danione, Jan 22, 2012.

 1. danione

  danione Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Natumia sim Nokia 2730c kama Mordem Kwenye PC yangu Ila Ipo Slow Saana Natumia Airtel 3G. Naombeni msaada kama kuna njia ya kuongeza Speed
  capture-20120121-163345.png
  Thnx
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,789
  Likes Received: 7,110
  Trophy Points: 280
  sio kila simu yenye 3g basi iwe fast simu yako maximum speed ni 384 kbps ina uwezo mdogo, nakushauri tafuta modem au kama wapenda simu tafuta smartphone kama nokia e au n series zenye uwezo hadi 5000 kbps,
   
 3. danione

  danione Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Asante kwa Ushaur
   
Loading...