Nokia X2 Sim Unlock Code

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
15,133
16,197
habari za kazi wakuu, Naomba msaada wa nokia x2 unlock code (T Mobile) Nimeletewa toka usa ina line ya T Mobile ila ikiwekwa line ya hapa inataka sim unlock code.
 
Habari,
Bado nahitaji msaada ndugu zangu kuhusu nokia x2 - 01 unlock code
Model : Nokia X2-01
Imei: 355971041789366
 
Kama huwezi kupata unlock code unahitaji kuipeleka simu kwa wataalam waiflash na kuingiza upya software. Baada ya hapo itakubali sim card yoyote.
 
habari za kazi wakuu, Naomba msaada wa nokia x2 unlock code (T Mobile) Nimeletewa toka usa ina line ya T Mobile ila ikiwekwa line ya hapa inataka sim unlock code.
<br />
<br />
nenda posta sehemu moja inayoita sapna apo watatatua tatizo lako bla shaka na bei zao zko chini kwl wapo j3 mpaka ijumaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom