Dear Ethinkers
Resonate Consulting Group LTD has organized an intensive CISA review course at a very reasonable and affordable cost for candidates, who would like to sit CISA exam in June 2012...
Mkuu asante sana kwa kunifumbua macho. tangia uweke ile thread yako jmos usiku hadi leo natumia internet bure kwenye simu kupitia tigo.
Nilichofanya kwenye setting za internet;
:proxy...
hey wana jf
Najua kuna watu wanapata shida hasa wanaotumia simu kufungua hizi kampuni za shorten url baada ya kuwa forced ku open ads huku wanaekewa sekunde za kusubiri.
Na kama mnavojua...
Ninatumia google chrome na internet explorer. Nimeongeza safari na opera, lakini ninapojaribu kuzitumia(opera na safari), zinashindwa kuunganisha mtandao na zineleta sms kwamba an error has...
Hbr wana Jf popote mlipo! Tangu jana hii mitandao miwili imewaweka watu ktk wakati mgumu sana. Maana unaweza kupokea simu kwa muda mchache baada ya hapo hali inakuwa ngumu kana kwamba huna salio...
Ninatumia windows 7 32 bit, nimepata AE cs5.5, tatizo ni 64 bit, kuna mtu anaweza kunisaidia nifanyeje ili iweze kuwa installed katika 32 bit yangu? Kama haiwezekani, ntaipata ya 32 bit? Kama...
Wadau anaejua jinsi ya kufanya muvi uiangalie huku ikionyesha sub-title ashushe darasa maana wengine kizungu tunaokoteza bila sub-title hakuna mzuka..kama vipi maujanja yanahitajika..
Naam wana jf teknical forum hope mambo muswano. .
Siku za karibuni nimekua naona mabandiko na matatizo ya watu mbali mbali kuhusu madereva(Drivers ) wa computer na laptop zao. Ni sababu hiyo...
nina pc yangu,naweza kuiwasha na kufanya kazi,kama kawaida ila cha ajabu inazimika gafla tu!na kuanza tena inafikia hadi neno window xp linaonekana tena inazima inaanza tena,inaweza ikachukua hata...
Kwa kweli hizi smart phones zinapoteza kabisa internet cafe, kwa maana imefikia hatua kila kitu mtu unafanya kwa kiganja chako, hata moderm sasa zitakosa soko sasa. Mtu akienda cafe ujue anafuata...
Top 20 Websites To Download Free Stuff For Mobile
Mobile phone has always been our best pal and finding applications to make them look trendy the most rated job. Wallpapers, ring tones, themes...
Hey guys! Natafuta watu wenye idea/udhoefu wa kutumia hadoop distributed file system. Ninafanya project moja hivi ningependa kujifunza toka kwenu. Shukrani wadau.
Scientists have discovered evidence of flowing salt water on Mars, which has ignited debate about potential alien life within the planet's surface. The images sent from NASA's orbiter show waters...
Heshima mbele wakuu. Naomba kujulishwa kuhusu samsung galaxy kama inatumia dual simcard? Lakini pia aina nzuri ya samsung dual simcard ambayo pia ina weza kuwa nzuri ktk...