Symbian ni very slow. Halafu hakuna tena simu zinazotumia OS ya Symbian zaidi ya Nokia hivyo software zake zinakuwa limited maana developers hawai-support sana.
Android zilizokuwa zinakula chaji ni zile za mwanzo 1.6 (donut) lakini latest 3.0 au 4.0 ni nzuri sana. Mimi natumia 2.3.4 kwenye simu ya screen kubwa, saa zote ikiwa kwenye net, ku-update weather, ku push email na wallpaper live (yenye video), kupiga simu karibu kila baada ya dk 20, message non-stop na ku-surf pages na bado napata siku nzima (masaa 16) bila shida.