Msaada jinsi ya ku set configuration za MMS VODACOM

sayicom

Member
Jul 2, 2011
66
1
Jamani simu yangu ni NOKIA C3 Naomba msaada jinsi ya kuifanya ipokee na kutuma MMS,,,,,,,,
 
Tuma sms MMS NOKIA C3 kwenda 15300 kama ni voda
Kama ni tigo MMS NOKIA C3 TO 500
 
fungua website Vodacom Tanzania - Homepage nenda kwenye menu product and service nenda cheka internet alafu angalia
upande wa kushoto wa page kwenye headingi vodacom cheka internet,chini yake kuna sub menu nyingi wewe chagua hile ACTIVATE YOUR DEVICE.Nazani hapo utapata kila kitu.
 
Back
Top Bottom