wakuu hp yangu haieleweki eleweki!!msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wakuu hp yangu haieleweki eleweki!!msaada

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by white wizard, Feb 11, 2012.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  nina pc yangu,naweza kuiwasha na kufanya kazi,kama kawaida ila cha ajabu inazimika gafla tu!na kuanza tena inafikia hadi neno window xp linaonekana tena inazima inaanza tena,inaweza ikachukua hata dk 20,ndio inakubali,na hata hivyo utafanya kazi kidogo tu inazima tena!tatizo itakuwa nini? Wakuu.
   
 2. KXY

  KXY JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 876
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 60
  Japo unahitaji kujua tatizo ni nini, mi nakushauri u-copy vitu vyako mapema na ufanye clean install ya OS.

  Sababu zinaweza kuwa nyingi, inaweza ikawa virus au kuna installation ulifanya ikasababisha.
  Kwa kifupi variables ziko nyingi so nakushauri ufanye kama nilivyokwambia hapo juu.
   
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Unatumia Antivirus gani? kuna uwezekano computer imekuwa affected na virus...hakikisha Antivirus ipo Active, ikiwaka Scan Master Boot Record...ikikataa tafuta cd ya OS unayotumia Repair hiyo windows itakuwa poa....kuformat computer ni option ya mwisho sana.....
   
 4. w

  white wizard JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  natumia Avira antvirus.
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ikikubali kuwaka tena nenda kwenye computer management cheki system event( Event viewer) . Hiyo kuna error itakuwa imereodiwa inayoeleza kwa nini computer ilijizima. From there unaweza kujua nini cha kufanya. Mara nyingi error zenye matatizo zina alama nyekundu. na kwa kesi yako cheki System event . Kwa kutumia date na time ya event ya kujizima inapotokea utajua event sahihi yenye kusabisha tatizo.....  NB
  Event viewer ni moja ya nyenzo nzuri sana kwenye windows ya kuelezea, kuangalia na kutathimini afya ya mashine yako. So use it.......

  Altenatvely kwa kubahatisha na utabiri na kuchanganya na experince nahisi inaweza kuwa dalili za HDD kufa au tatizo la bad sectors. So kujua kama HDD ina tatizo jaribu ku run command ya check disk kwenye DOS au kwa GUI

  chkdsk /f . Kama HD ina matatizo process ya kuchei na kufix i inaweza kuchukua muda Maelezo zaidi soma Microsoft Corporation
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. networker

  networker JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Aise achana na avira ni sawa na kuweka pazia iwe mlango.ukimalza fanya ulicho ambwa na wengne
   
Loading...