mkuu Nyahenge maelezo ya Mtazamaji kwa kiasi fulani ni darasa tosha.
Unaweza kuinstall version ya 64 bits ila ujue hiyo sio upgrade ni vitu viwili ambavyo kila kimoja kinajitegemea.
kuhusu performance inategemea na kazi unazozifanya na programs zako, faida moja ya 64 bits ni uwezo wakutumia memory kubwa zaidi kwani 32 bits mwisho ni 4GB RAM.
kama matumizi yako ni ya kawaida tu, huchezi games wala hufanyi kazi za kuhitaji high processing power kama video editing and 3D graphics unaweza usigundue tofauti yeyote.