Lap top yangu toshiba imezima.mlango ni mbovu.nifanyeje niwezb kutumia flash disk kuweka new os? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lap top yangu toshiba imezima.mlango ni mbovu.nifanyeje niwezb kutumia flash disk kuweka new os?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tizo1, Feb 10, 2012.

 1. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Msaada jamani.mlango ni mbovu na lap top inataka new window!NIFANYEJE?
   
 2. deojames

  deojames JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  kama una windows 7 disc tafuta pc kisha format flash yako kwa fat32 then copy hayo mafile ya windows kwenye flash direct. Kwa windows xp tafuta program inaitwa winsetup from usb kisha tumia hiyo kucopy hayo mafile ya xp to flash. Ukimaliza boot then kwenye boot options select flash disk hapo itakupa maelekezo
   
 3. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Tafuta Uzi humu Jf, Unaoenda kwa jina la How To Make Bootable Flash Disk?
  Hapo unatakiwa udownload win to flash kisha instal ktk Pc yenye cd au dvd rom kisha utakopi kwa kutumia program uliyo instal hamna haja ya kuformat flash disk maana hiyo process itakuwa direct.
   
 4. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mashine yangu ni ya old model.ukimaliza kufanwa setUP unatakiwa ubonyeze END key ili uSAVE seting.mbona END key inagoma?pia mbona hakuna sehemu inayonieleza ni boot from USB?HAPA KUNA ...HDD;>FDD;>CD-ROM;>LAN.
  Msaada WATAALAM WANGU
   
 5. KXY

  KXY JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 876
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 60
  Ubovu wa mlango wako ni nini?
  Nakushauri utumie external optical drive(CD/DVD-ROM) kama CD ni bootable utapata option ya ku-boot from CD
  Ni vizuri pia ukatuambia aina ya laptop yako, model and specs
   
 6. P

  Paul S.S Verified User

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Ushauri mzuri sana
  nivizuri kujua aina ya pc na specs zake maana kuna zingine hazina option ya ku boot kwa usb flash
  Nadhani external cd/dvd rom itakuwa nzuri zaidi
   
 7. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Exellent!!
   
 8. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  aina ya laptop ni toshiba satellite 1850....msaada jaman!
   
Loading...